Azam TV
Azam TV
  • 35 567
  • 725 085 113
UZINDUZI KITABU CHA YANGA | Hotuba kamili ya Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko
Ni hotuba ya mgeni rasmi katika uzinduzi wa kitabu cha historia ya Yanga, uliofanyika usiku wa Juni 15 Hyatt Hotel Dar es Salaam.
Huyu ni Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Dotto Biteko ambaye amezungumza mengi ikiwemo kuonya klabu za mpira kuepuka migogoro, mipango ya serikali kuendeleza michezo Tanzania, lakini pia ameitaja timu anayoshabikia Tanzania.
Переглядів: 2 392

Відео

RC Chalamila: Namteua mke wangu kuwa shabiki wa Simba (Uzinduzi Kitabu cha Yanga)
Переглядів 1296 годин тому
UZINDUZI WA KITABU YANGA | Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ‘afanya uteuzi’ katikati ya tukio la Yanga. Ni katika uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Yanga LIVE kutoka Hyatt Hotel Dar es Salaam #YangaSC #UzinduziKitabuYanga #Kitabu #KitabuChaHistoriaYanga
UZINDUZI KITABU CHA YANGA | Mwana FA ataja sababu za kuvutiwa na Yanga, asema yeye Coastal Union
Переглядів 1,1 тис.6 годин тому
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma anaeleza sababu za kushiriki shughuli za Yanga, aipongeza kwa mafanikio na kufanya kwa vitendo mambo wanayokusudia kuyafanya, ampa maua yake Rais wa TFF, Wallace Karia. Ni katika uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Yanga LIVE kutoka Hyatt Hotel, Dar es Salaam. #YangaSC #UzinduziKitabuYanga #Kitabu #KitabuChaHistoriaYanga
UZINDUZI KITABU CHA YANGA | Hotuba kamili ya Rais wa TFF, Wallace Karia
Переглядів 336 годин тому
Rais wa TFF ameimwagia sifa Yanga na uongozi wake chini ya Hersi Said kutokana na mafanikio waliyopata na uamuzi wa kuandika kitabu cha historia yao. Karia pia ameeleza jinsi Yanga ilivyohusika katika uanzishwaji wa klabu ya Coastal Union akiweka wazi kuwa hiyo ndiyo timu aipendayo. Pia amezitaja timu nne za Tanzania ambazo hazitakufa. Hii hapa hotuba yake yote aliyoitoa kwenye Uzinduzi wa Kita...
Rais TFF ataja timu nne Tanzania ambazo hazitakufa, imo anayoipenda
Переглядів 517 годин тому
UZINDUZI WA KITABU YANGA | “…Mimi ni kiongozi wa TFF, sina dhambi nikiwa napenda timu”. Rais wa TFF, Wallace Karia ang’aka kuhusu Coastal Union kuchukuliwa poa, ataja timu nne Tanzania ambazo hazitakufa, asimulia jinsi Yanga ilivyohusika katika uanzishwaji wa Coastal Union. Ni uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Yanga LIVE kutoka Hyatt Hotel, Dar Es Salaam
Mudhihiri: Sunderland (Simba) ilianzishwa kwa ajili ya kuleta ukorofi, lakini........
Переглядів 1787 годин тому
UZINDUZI WA KITABU YANGA | “…akaanzisha vijana wanaitwa Queens, ambao baadaye waliitwa Sunderland”. Mudhihiri Mudhiri aeleza chanzo cha utani wa Simba na Yanga, ashangaa wanaokasirikia mabango, akisema ni kweli Sunderland ilianzishwa kwa ajili ya kuleta ukorofi ili uhuru usipatikane, lakini Watanzania walikuwa na akili zao. Ni uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Yanga LIVE #AzamSports2HD #YangaS...
"Kumbe Yanga ilianza mwaka 1926” - Mudhihiri kwenye Uzinduzi wa Kitabu cha historia ya Yanga
Переглядів 1,6 тис.7 годин тому
UZINDUZI WA KITABU YANGA | Mwenyekiti wa Kamati wa Uandishi wa Kitabu, Mudhihiri Mudhiri anatupitisha kwenye machache yaliyomo ndani ya kitabu na jinsi walivyoipata hitoria kamili ya Yanga….. Ni uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Yanga LIVE kutoka Hyatt Hotell, Dar es Salaam
Rais wa Yanga awaanika wote waliohusika Kitabu cha Historia ya Yanga
Переглядів 9717 годин тому
UZINDUZI WA KITABU YANGA | “….Mkwasa ndiye mtu pekee ambaye ameshawahi kuwa mchezaji wa Yanga, akawa nahodha wa Yanga, akawa kocha msaidizi wa Yanga, akawa kocha wa Yanga, na akawa katibu wa Yanga”. Rais wa Yanga SC, Hesri Said anagusia kidogo historia kisha anaeleza kwa ufupi mchakato mzima wa maandalizi ya kitabu hicho pamoja na kuwatambulisha wote waliohusika kuanzia kamati iliyokuwa chini y...
Karume aliipa Sunderland (Simba SC) Tsh. mil 60 - Mama Fatma Karume
Переглядів 567 годин тому
UZINDUZI WA KITABU YANGA | “….akatoa fedha milioni 60, akawapa Sunderland” Mama Fatma Karume anakumbusha jinsi mumewe ambaye ni Rais wa kwanza Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume alivyoshiriki kuipa ‘pumzi’ Simba SC. Ni katika uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Yanga Hyatt Hotel , Dar es Salaam
Highlights | Tusker FC 2-1 Bandari FC | FKF Premier League 25/06/2024
Переглядів 487 годин тому
Tusker FC imeibutua Bandari FC mabao 2-1 katika muendelezo wa ligi kuu ya Kenya, #FKFPremierLeague mchezo ukipigwa leo kwenye Dimba la Machakos. Magoli ya Tusker FC yametoka kwa James Kibande dakika ya 43 na Deogratius Ojok 61' huku goli pekee la Bandari likifungwa na Fidel Otieno 65'.
Feitoto 'abeba kombe baada ya kuwapiga SAMAKIBA 3-2 Nifuate Zanzibar 2024
Переглядів 6607 годин тому
#NifuateZanzibar2024 Kombe kwa mabingwa likakabidhiwa kwa nahodha wa FEIBUI, Feisal Salum… lakini ni baada ya zawadi kwa waliong’ara na medali kwa wote. Miongoni mwa waliong’ara ni Juma Kaseja ambaye amechukua tuzo ya golikipa bora na Feisal Salum ambaye amechukua tuzo ya mchezaji bora (MVP). FT: SAMAKIBA 2-3 FEIBUI (Mbappe 24', Samatta 72'| Feitoto 16', Hilika 19', Miroshi 58')
"Wametupa dawa" - Samatta ampa mkono Feitoto baada ya kula kichapo (Nifuate Zanzibar 2024)
Переглядів 4,4 тис.7 годин тому
SAMAKIBA 2-3 FEIBU | Mbwana Samatta ataja kilichowaponza, ampa mkono Feitoto ambaye anafichua kilichowapa ushindi na sababu za kutofanya ‘warm up’ kabla ya mechi akisema “wameingia kwenye mfumo, tumewapa tatu”. #NifuateZanzibar2024
Magoli | SAMAKIBA 2-3 FEIBUI | Mechi ya Hisani | Nifuate Zanzibar 15/06/2024
Переглядів 10 тис.8 годин тому
Tazama magoli yote matano na penati aliyokosa Alikiba katika mchezo wa hisani, Team FEIBUI ikiitandika Team SAMAKIBA mabao 3-2 kwenye Dimba la Amaan Complex, Zanzibar. Magoli ya FEIBUI (Fesal Salum Feitoto na Abdulaziz Makame) yamefungwa na Feisal Salum, Ibrahim Ahmada Hilika, na Dismas Novatus huku magoli ya SAMAKIBA (Mbwana Samatta na Alikiba) yakifungwa na Kelvin John 'Mbappe' na Mbwana Sama...
Magoli | Tusker FC 2-1 Bandari FC | FKF Premier League 15/06/2024
Переглядів 39611 годин тому
Tusker FC imeibutua Bandari FC mabao 2-1 katika muendelezo wa ligi kuu ya Kenya, #FKFPremierLeague mchezo ukipigwa leo kwenye Dimba la Machakos. Magoli ya Tusker FC yametoka kwa James Kibande dakika ya 43 na Deogratius Ojok 61' huku goli pekee la Bandari likifungwa na Fidel Otieno 65'.
Magoli | Mwamnyeto Foundation 2-1 Mbeya All Stars | Mechi ya Hisani 15/06/2024
Переглядів 31 тис.13 годин тому
Timu ya Bakari Mwanyeto na Zawadi mauya (Mwamnyeto Foundation) imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya All Stars iliyojumuisha wachezaji mbalimbali wenye asili ya mkoa wa Mbeya. Mbeya All Stars ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 5 kupitia kwa George Mpole kabla ya Yacouba Sogne kuchomoa dakika ya 16 na kisha Denis Nkane kufunga la ushindi dakika ya 90. Ni mchezo wa hisani uliopigwa le...
Droo upangaji makundi ya Basketball Taifa Cup (wanaume) itakayofanyika Dodoma
Переглядів 7114 годин тому
Droo upangaji makundi ya Basketball Taifa Cup (wanaume) itakayofanyika Dodoma
Tazama 'Face Off' ya mchongo kuitambulisha Dar Boxing Derby Juni 29, 2024
Переглядів 43114 годин тому
Tazama 'Face Off' ya mchongo kuitambulisha Dar Boxing Derby Juni 29, 2024
Droo upangaji makundi ya Basketball Taifa Cup (wanaume) itakayofanyika Dodoma
Переглядів 33614 годин тому
Droo upangaji makundi ya Basketball Taifa Cup (wanaume) itakayofanyika Dodoma
SPORTS AM | Opa Clement afunguka safari yake ya soka, asahihisha jina lake
Переглядів 1,8 тис.18 годин тому
SPORTS AM | Opa Clement afunguka safari yake ya soka, asahihisha jina lake
Katwila afunguka alivyoikataa Yanga wakati akisakata kabumbu
Переглядів 19120 годин тому
Katwila afunguka alivyoikataa Yanga wakati akisakata kabumbu
WAPE TABASAMU | Hersi Said, Popat, GSM watakuwepo Jmhuri Morogoro
Переглядів 85421 годину тому
WAPE TABASAMU | Hersi Said, Popat, GSM watakuwepo Jmhuri Morogoro
KURASA ZA MWISHO | Wahariri magazeti ya michezo wajipanga taarifa za usajiri
Переглядів 58821 годину тому
KURASA ZA MWISHO | Wahariri magazeti ya michezo wajipanga taarifa za usajiri
Shabiki wa Simba asema Yanga hawezi kumbakisha Aziz Ki
Переглядів 20622 години тому
Shabiki wa Simba asema Yanga hawezi kumbakisha Aziz Ki
NJE YA ULINGO | Ibrahim Class | Alichokivuna Marekani | Pesa anayoipata | 'Bifu' na Said Mkola
Переглядів 1,1 тис.2 години тому
NJE YA ULINGO | Ibrahim Class | Alichokivuna Marekani | Pesa anayoipata | 'Bifu' na Said Mkola
YANGA TV 14/06/204 | Kishindo cha Mkutano Mkuu 2024
Переглядів 1,5 тис.2 години тому
YANGA TV 14/06/204 | Kishindo cha Mkutano Mkuu 2024
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 14/06/2024
Переглядів 15 тис.2 години тому
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 14/06/2024
Simba Queens 3-0 Geita Gold Queens | Highlights | Ligi Kuu Wanawake 14/06/2024
Переглядів 22 тис.2 години тому
Simba Queens 3-0 Geita Gold Queens | Highlights | Ligi Kuu Wanawake 14/06/2024
Simba Queens walivyokabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Wanawake 2023/24
Переглядів 15 тис.2 години тому
Simba Queens walivyokabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Wanawake 2023/24
Magoli | Simba Queens 3-0 Geita Gold Queens | Ligi Kuu Wanawake 14/06/2024
Переглядів 12 тис.2 години тому
Magoli | Simba Queens 3-0 Geita Gold Queens | Ligi Kuu Wanawake 14/06/2024
Azam TV yajipanga kwa msimu wa 10, 'Safari Field Challenge'
Переглядів 1962 години тому
Azam TV yajipanga kwa msimu wa 10, 'Safari Field Challenge'

КОМЕНТАРІ

  • @josephdamas3647
    @josephdamas3647 Хвилина тому

    huyu kelvin john ni yupi ?

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 Хвилина тому

    Wachqmbuzi uwanja waamuzi na biashara wote Lao moja

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 2 хвилини тому

    Msituchanganye bhana

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 2 хвилини тому

    kba kakznguwa bhn

  • @dottomatola5905
    @dottomatola5905 3 хвилини тому

    Arafu anatokea mjinga ,mlevi mmoja anasema hii nchi mbaya hakuna kilichofanyika huyo ni mpumbavu (Nimerusha jiwe gizani ukisikia kelele ujue limempata mtu)

  • @StevenHava-vr8ep
    @StevenHava-vr8ep 5 хвилин тому

    Uny

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 7 хвилин тому

    😂😂😂😂😂

  • @AmeirHamad-uj6ds
    @AmeirHamad-uj6ds 12 хвилин тому

    Ndio vzr

  • @AmeirHamad-uj6ds
    @AmeirHamad-uj6ds 12 хвилин тому

    Ndi

  • @victorianbenardnachenga6839
    @victorianbenardnachenga6839 18 хвилин тому

    Mwana FA ni mtu na nusu ni kiongozi bora na wa mfano pongezi kwa mh Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliona hili kabla ya sisi wengi...!!!

  • @sosodefdigitalvideo5134
    @sosodefdigitalvideo5134 23 хвилини тому

    Daima mbele

  • @user-ds3xs8gd9j
    @user-ds3xs8gd9j 23 хвилини тому

    Huyu kijana huwa nampenda sana akiongea nimtulivu nimwerevu na anajitambua sana namuazii mungu amlinde

  • @user-yj8vu9co9l
    @user-yj8vu9co9l 24 хвилини тому

    Mpira ni balaa tu visiwan wanawqza tu uvuvi

  • @sosodefdigitalvideo5134
    @sosodefdigitalvideo5134 24 хвилини тому

    Hongera kwa uongozi imara

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 45 хвилин тому

    Najivunia kuwa mwananchi ❤❤❤

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 46 хвилин тому

    😂😂😂

  • @stafordbusumbiro2810
    @stafordbusumbiro2810 Годину тому

    Yanga mmekuwa kioo. Mtabaki kuwa dira ya nchi katika nyanja ya mchezo wa mpira wa miguu. GSM, Eng. Hersi na jopo lako mmeiheshimisha Yanga na Tanzania. Matukio ya aina hii ni adimu ktk Afrika na hata duniani. Yanga mmekuwa waasisi wengone watafuata. Tunaiombea Yanga ifike mbali katika mafanikio ya Uwanjani ili ilitanhazr taifa letu.

  • @MuhungaMasengo-og3vk
    @MuhungaMasengo-og3vk Годину тому

    Aliwahi kusema mtumishi wamungu nileteheni awa vijana

  • @RajabuHamza-hs9kn
    @RajabuHamza-hs9kn Годину тому

    Mukoko😮😮😮😮😮

  • @RehemaChapaulinge
    @RehemaChapaulinge Годину тому

    Safu

  • @RehemaChapaulinge
    @RehemaChapaulinge Годину тому

    Mbarikiwe na MUNGU

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Годину тому

    Mchezo ilikuwa wa kistarabu sana, hongera waandaaji ❤

  • @malengouniverse9652
    @malengouniverse9652 Годину тому

    ua-cam.com/video/sAisLxaYEb4/v-deo.htmlsi=V0Jdl3tOdgjj2Iss

  • @malengouniverse9652
    @malengouniverse9652 Годину тому

    ua-cam.com/video/sAisLxaYEb4/v-deo.htmlsi=V0Jdl3tOdgjj2Iss

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 2 години тому

    Kitabun kitapatikana wapi nikitaka

  • @elidadi1351
    @elidadi1351 2 години тому

    Big up sana kwa klabu yetu Ya Yanga

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 2 години тому

    Hio timu ni zanzibar wa.dar si matama sana watapesa walipwe.lakini zeji brazil soka burudani tu

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 2 години тому

    Fei.toto yupo nyumbani sasa fei itabidi uwemde ulaya

  • @stn4873
    @stn4873 2 години тому

    Hivi huyu ali kiba mnasemaga ni mchezaji😂😂😂😂😂😂

    • @st.jamese.r6941
      @st.jamese.r6941 Годину тому

      Ndio mchezaj, alwah kuchezea Coastal union ya Tanga na akawa anakiwasha tu 😢

  • @stn4873
    @stn4873 2 години тому

    Namuona hapo MUKOKO TONOMBE

  • @mohammededy7086
    @mohammededy7086 4 години тому

    Upendo

  • @user-hm5yv3kk7x
    @user-hm5yv3kk7x 4 години тому

    Mwamba hasomi makaratasi vitu vipo kichwani

  • @junglemovies2623
    @junglemovies2623 4 години тому

    Mukoko TEACHER

  • @AllySekela
    @AllySekela 5 годин тому

    Asante kaka najuwa mzuri sana

  • @elibarikikivuyo5946
    @elibarikikivuyo5946 6 годин тому

    Buruuudani safi sana

  • @chemstry409
    @chemstry409 6 годин тому

    Wow....Amazing...kumbe walikuwa MA QUEEN....😂😂😂

  • @T-MaxPalukuKabuyaya
    @T-MaxPalukuKabuyaya 6 годин тому

    ❤❤❤🇨🇩

  • @ezemwimo3223
    @ezemwimo3223 6 годин тому

    ❤ME WA KWANZA LEO 😅 NIPENI LIKE,👍

  • @VuwaiVuwai-eb2zy
    @VuwaiVuwai-eb2zy 6 годин тому

    Tim ya feibui weng wao walio msapot ni ndugu zake wa azam pmja na wazazibar sjawaona wa simba

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 6 годин тому

    Mbona kama nimemuon mukoko tonombe jmn ila kamerazenu zimezingua😢

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 7 годин тому

    Tonombee Mukoko

  • @VuwaiVuwai-eb2zy
    @VuwaiVuwai-eb2zy 7 годин тому

    Mpira si uwadui mko vizury sana mungu awabark sana

  • @ZubeirBinAli
    @ZubeirBinAli 7 годин тому

    Fist one today

  • @isackobadiah484
    @isackobadiah484 7 годин тому

    Mnazingua, Hamuonyeshi Vizurii

  • @abubakarsalanga2497
    @abubakarsalanga2497 7 годин тому

    Nmemwon mc mboneke

  • @JumaRamadhani-qt4qz
    @JumaRamadhani-qt4qz 7 годин тому

    Congratulations to all

  • @SulmanAliy-wp8zq
    @SulmanAliy-wp8zq 8 годин тому

    Team fei

  • @covertv8081
    @covertv8081 8 годин тому

    Leo mm wa Kwanzaa nipeni maua yangu

  • @Economically-Growth-Musicians
    @Economically-Growth-Musicians 8 годин тому

    Congratulations 🎉🎉🎉🎉

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 8 годин тому

    Nakupenda Mkola ila Kwa Bwanga Umekwisha bro😅