Azam TV
Azam TV
  • 35 620
  • 726 330 019

Відео

Sofapaka 0-1 Gor Mahia | Highlights | FKF Premier League - 16/06/2024
Переглядів 644День тому
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa Ligi Kuu Kenya (Kenya Premier League) kati ya Sofapaka FC dhidi ya Gor Mahia. Mchezo ulimalizika kwa Gor Mahia kushinda goli 1-0 Mfungaji wa goli ni Silvester Owino
Bidco United 0-1Kariobangi Sharks | Highlights | FKF Premier League - 15/06/2024
Переглядів 79День тому
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Kenya kati ya Bidco United dhidi ya Kariobangi Sharks. Kariobangi Sharks imeshinda kwa jumla ya goli 1-0 Mfungaji wa goli hilo ni John Mark Makwata kwa mkwaju wa penati.
WAPE TABASAMU | MC Mboneke, Mr. Mwanya watunishiana misuli kwa maneno
Переглядів 1,7 тис.День тому
Tazama huu ushindani wa maneno kati ya wahamasishaji hawa wawili, MC Mboneka wa Team Dickson Job na Mr. Mwanya wa Team Kibwana Shomari. Ni kuelekea tamasha la #WapeTabasamu litakalofanyika Juni 22 mjini Morogoro. Tamasha la Wape tabasamu litafanyika katika dimba la Jamhuri Morogoro, Jumamosi ya Juni 22 kati ya Team Kibwana dhidi ya Team Job. #WapeTabasamu
KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi aondoa utata matukio 10 yaliyowavuruga wapenda soka
Переглядів 153День тому
Mwamuzi mstaafu wa soka, Osman Kazi ameondoa utata kwenye matukio 10 yaliyojiri kwenye soka msimu wa 2023/24 kwenye NBC Premier League. Osman Kazi pia ameondoa utata kwenye matukio yaliyojiri kwenye mechi mbili za mtoano (play offs) kati ya JKT Tanzania dhidi ya Tabora United pamoja na mchezo kati ya Biashara United dhidi ya Tabora United.
WAPE TABASAMU | Kibwana Shomari amchimba mkwara Dickson Job
Переглядів 369День тому
“Nitawafunga kwa maneno, nitawafunga uwanjani” ‘mikwara’ ya Kibwana Shomari akiwatisha timu Team Job kuelekea mchezo wao wa tamasha la #WapeTabasamu litakalofanyika Jumamosi. Tamasha la Wape tabasamu litafanyika katika dimba la Jamhuri Morogoro, Jumamosi ya Juni 22 kati ya Team Kibwana dhidi ya Team Job. #WapeTabasamu
SEKUNDE 60 | Timu tanozimetumia dimba la Azam Complex, Simba, Azam Yanga wamo
Переглядів 319День тому
Klabu tano za soka nchini zimetumia dimba la Azam Complex, kama uwanja wao wa nyumbani kwenye mechi za NBC Premier League msimu wa 2023/24. Leonard Musikula anakujuza idadi ya magoli yaliyofungwa katika dimba hilo na akikutajia mechi ambazo zilimalizika bila goli. #Sekunde60ZaMusikula #Sekunde60 #LeonardMusikula #NBCPremierLeague #NBCPL #NBCPLRecords
Vita ya maneno ya Kisugu wa Simba, Mwalimu Yanga wa Yanga
Переглядів 1,3 тис.День тому
VITA YA MENO YA KISUGU, MWALIMU YANGA: “Katikati atazunguka Messi wa Afrika, Aziz Mwana wa Ki” maneno ya Msemaji wa Teamu Kibwana, Kisugu Mikoi akimtambia Msemaji wa Team Job, Mwalimu Yanga ambaye yeye anasema ‘chama’ lake lina software ya soka Afrika, Clatous Chota Chama. Wawili hao wamekutana leo wakati wa zoezi la ugawaji mafuta kwa madereva bodaboda ikiwa ni sehemu ya kurejesha kwa jamii ja...
Serikali kujenga shule za michezo 56
Переглядів 337День тому
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesema serikali imepanga kuanzisha shule 56 za michezo mbalimbali ikiwemo ni sehmu ya mikakati ya kuhakikisha inakuza michezo na kuibua vipaji vipya ikiwemo mchezo wa basketball. Waziri Ndumbaro alizungumza kwenye ufunguzi wa michuano ya #TaifaCup2024 inayorindima katika viwanja vya Chinangali Dodoma. Michuano hiyo imeanza Juni 19 na i...
Magoli yote saba ya Chama wa Simba kwenye NBC Premier League 2023/24
Переглядів 3,2 тис.День тому
Tazama magoli yote saba (7) aliyofunga kiungo wa Simba SC, Clatous Chota Chama kwenye NBC Premier League msimu wa 2023/24. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #Chama #MagoliYaChama
Zanzibar yakoshwa na Kongamano la Wanawake Michezoni
Переглядів 395День тому
Wazanzibari na washiriki wengine kwenye Kongamano la kimataifa lililohusu wanawake wanaojihusisha michezoni, wameelezea yale waliyojifunza, matarajio yao baada ya kongamano pamoja na kuishukuru #AzamMedia ambayo ilishiriki kikamilifu kwenye kurusha matangazo. Fatma Abdallah Chikawe alikita kambi visiwani Zanzibar katika siku zote za kongamano hilo, hapa anaeleza zaidi. #WanawakeMichezoni #Michezo
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 19/06/2024
Переглядів 16 тис.20 годин тому
Azam TV
Kamwe atamba na takwimu za Yanga msimu wa 2023/24
Переглядів 42620 годин тому
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amekumbushia hekaheka zilizotokea katika mechi za mwisho za NBC Premier League msimu uliopita wa 2023/24 huku akiitaja mechi yao dhidi ya Tanzania Prisons. Kamwe pia ametamba na takwimu za timu yao msimu huo wa 2023/24 #Kamwe #Yanga
AFC Leopards 0-0 KCB FC | Highlights | FKF Premier League 19/06/2024
Переглядів 43720 годин тому
Ilikuwa ni mechi ya moto na yenye upinzani mkubwa na vurugu za hapa na pale zilizosababisha kadi nyekundu upande wa KCB. Mwisho mechi hakuna goli, licha ya mashambulizi na saves kali kutoka kila upande.... Ni Ligi Kuu ya Kenya #FKFPremierLeague kwenye Dimba la Dandora, Nairobi.
Nairobi City Stars 1-1 Sofapaka FC | Highlights | FKF Premier League 19/06/2024
Переглядів 21920 годин тому
Sofapaka wametangulia kwa goli la Darius Msagha dakika ya 30, lakini Nairobi City Stars wakachomoa dakika nne baadaye kupitia kwa Gilbert Abala, na mechi ikamalizika kwa sare ya bao 1-1. Ni Ligi Kuu ya Kenya #FKFPremierLeague , mchezo ukipigwa Uwanja wa Dandora, Nairobi Kenya.
Ilham Rashid alivyokutana na wasanii Kituruki | The Ottoman, Golden Boy
Переглядів 85320 годин тому
Ilham Rashid alivyokutana na wasanii Kituruki | The Ottoman, Golden Boy
MKANDA | MUST WATCH: Moses Suday anatusanua filamu kali ya 'DeAr' ambayo hupaswi kuikosa 2024
Переглядів 7820 годин тому
MKANDA | MUST WATCH: Moses Suday anatusanua filamu kali ya 'DeAr' ambayo hupaswi kuikosa 2024
MKANDA | MUST WATCH: Ilham Rashid hii 'Honeymoonish' kwa nini isikupite
Переглядів 10620 годин тому
MKANDA | MUST WATCH: Ilham Rashid hii 'Honeymoonish' kwa nini isikupite
AZAM FC TV 18/06/2024 | Watoto walivyokula raha za kiwanda cha Azam Biskuti
Переглядів 23520 годин тому
AZAM FC TV 18/06/2024 | Watoto walivyokula raha za kiwanda cha Azam Biskuti
SEKUNDE 60 | Ifahamu mechi yenye rekodi za kipekee NBC Premier League 2023/24
Переглядів 70520 годин тому
SEKUNDE 60 | Ifahamu mechi yenye rekodi za kipekee NBC Premier League 2023/24
Salamu za Latif Bey wa 'Golden Boy' kwa Watanzania
Переглядів 35220 годин тому
Salamu za Latif Bey wa 'Golden Boy' kwa Watanzania
SIKU YA MTOTO WA AZAM FC | Zakazakazi asimulia mkasa wa shabiki aliyeahidi jogoo kwa Fei Toto
Переглядів 39420 годин тому
SIKU YA MTOTO WA AZAM FC | Zakazakazi asimulia mkasa wa shabiki aliyeahidi jogoo kwa Fei Toto
DAKIKA 90 (17/06/2024) | Tabora United walivyonusurika kushuka daraja ligi kuu 2023/24 (Uchambuzi)
Переглядів 6520 годин тому
DAKIKA 90 (17/06/2024) | Tabora United walivyonusurika kushuka daraja ligi kuu 2023/24 (Uchambuzi)
Magoli | Nairobo City Stars 1-1 Sofapaka FC | FKF Premier League 19/06/2024
Переглядів 22420 годин тому
Magoli | Nairobo City Stars 1-1 Sofapaka FC | FKF Premier League 19/06/2024
Kamwe asema hakuna kesi FIFA inayoihusu Yanga
Переглядів 3,1 тис.20 годин тому
Kamwe asema hakuna kesi FIFA inayoihusu Yanga
Bondia Said Mkola ana kwa ana na Said Bwanga kuelekea Dar Boxing Derby Juni 29
Переглядів 41423 години тому
Bondia Said Mkola ana kwa ana na Said Bwanga kuelekea Dar Boxing Derby Juni 29
Mabondia Nassib Ramadhan na Juma Choki 'wazinguana' kwa mara ya kwanza kuelekea Dar Boxing Derby
Переглядів 19923 години тому
Mabondia Nassib Ramadhan na Juma Choki 'wazinguana' kwa mara ya kwanza kuelekea Dar Boxing Derby
Watoto Azam FC wafanya ziara kiwanda cha Azam Biskuti, wakuta 'maajabu'
Переглядів 90323 години тому
Watoto Azam FC wafanya ziara kiwanda cha Azam Biskuti, wakuta 'maajabu'
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 18/06/2024
Переглядів 28 тис.23 години тому
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 18/06/2024
MAKALA | Bondia pekee aliyeiletea Tanzania medali ya dhahabu Jumuiya ya Madola.
Переглядів 90223 години тому
MAKALA | Bondia pekee aliyeiletea Tanzania medali ya dhahabu Jumuiya ya Madola.

КОМЕНТАРІ